Ukeketaji za siri kubwa kuendelezwa Tana River

KTN News Sep 13,2018


View More on KTN Leo

Ukanda wa pwani ya kenya, inadaiwa kunaendelezwa ukeketaji kwa njia za siri kubwa kutoka kwa jamii za Tana River. Ni ukeketaji unaotajwa kuwa mbaya zaidi, ukilinganishwa na ukeketaji katika badhi ya jamii nchini