Gavana wa Kaunti ya Migori Okoth Obado ahojiwa na polisi

KTN News Sep 11,2018


View More on KTN Leo

Gavana wa Kaunti ya Migori Okoth Obado, alihojiwa kwa zaidi ya saa saba katika makao makuu ya maafisa wa jinai jiijni kisumu kuhusiana na mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu cha rongo sharon otieno. Waandishi wa habari walikita kambi nje ya makao makuu hayo.