Watu 800,000 hujitoa uhai kila mwaka duniani | Jukwaa la KTN News

KTN News Sep 10,2018


View More on Jukwaa la KTN

Siku ya kuhamasisha umma dhidi ya kujitoa uhai imeadhimishwa leo mjini Embu. Inakadiriwa kwamba takriban watu laki nane hujitoa uhai kila mwaka kote duniani. Kenya pekee kati ya watu wanne hadi watano hujitoa uhai kila siku. Miongoni mwa mambo yanayodaiwa kuchangia katika watu kujiua ni mafadhaiko wa akili.