Wabunge wa Kaunti ya Nairobi wajaribu kumtimua Spika wa Bunge Beatrice Elachi | KTN Leo

KTN News Sep 10,2018


View More on KTN Leo

Kulizuka vurugu katika Bunge la Kaunti ya Nairobi baada ya Wabunge wa Kaunti kujaribu kumtimua kwa nguvu kutoka ofisini Spika wa Bunge Beatrice Elachi. Haya yalijiri dadika chache baada ya elachi kujitetea kuwa huenda analengwa kutokana na vita vyake dhidi ya ufisadi kwenye Bunge la Kaunti.