Riadha za Chemususu Dam zilizinduliwa | KTN Leo

KTN News Sep 10,2018


View More on Sports

Riadha za Chemususu Dam zilizinduliwa hii leo huku usajili ukiendelea rasmi. Riadha hizi zimekuwepo kwa muda wa miaka minne sasa huku lengo likiwa ni kutunza mazingira haswa maeneo ya maji. Riadha hizi zitaandaliwa septemba tarehe 15.