WAKO WAPI: Alicen Chelaite, Mbunge wa zamani wa Rongai Kaunti ya Nakuru
8th September, 2018
Katika makala ya wako wapi leo tunamuangazia alicen chelaite. Mbunge wa zamani wa Rongai Kaunti ya Nakuru. Pia alikuwa diwani kwa miaka mingi na meya wa nakuru.