Utafiti: Mmoja kati ya wanawake watatu hudhulumiwa kimapenzi kila siku

KTN News Sep 08,2018


View More on KTN Leo

Utafiti unaonyesha kuwa mmoja kati ya wanawake watatu hudhulumiwa  kimapenzi kila siku. Hii ina maana kuwa mamia ya wanawake kwenye vitongoji duni hapa jijini nairobi wanakabiliwa na hatari ya ubakaji.  Shirika lisilo la serikali la ujamaa afrika linatoa ushauri nasaha na mafunzo ya kujikinga dhidi ya ubakaji kwa watoto wa shule haswa kwenye mitaa ya mabanda. Mary muoki alihudhuria mafunzo hayo na kuandaa taarifa ifuatayo.