Francis Atwoli amemshutumu Naibu Rais William Ruto kwa misururu ya michango

KTN News Sep 04,2018


View More on KTN Leo

Kinara wa chama cha  ANC, Musalia Mudavadi, sasa anamtaka Rais Uhuru Kenyatta kutia saini mswada wa fedha wa 2018 uliopitishwa na wabunge ili kusitisha mara moja utekelezaji wa ushuru wa ziada wa asilimia kumi na sita, kwa bidhaa za mafuta. Amezunngumza na wanahabari mapema leo katika makao makuu ya chama chake.