Timu ya soka ya shule ya upili ya Kwale iliwashangaza wengi na ushindi

KTN News Sep 04,2018


View More on KTN Leo

Baada ya kuandikisha matokeo duni katika makala yao ya kwanza ya mashindano ya kitaifa ya shule za upili mwaka 2017, Timu ya soka ya shule ya upili ya Kwale iliwashangaza wengi mwaka huu iliponyakua taji hilo. Timu hiyo inapania kuunda kikosi dhabati misimu ijayo.