Watu watano wamefariki kutokana na moto katika Kibera

KTN News Sep 01,2018


View More on KTN Leo

Mtaani Kibera watu watano wamefariki na mali ya kiasi kisichojulikana kuteketea kutokana na moto unaoripotiwa  ulisababishwa na utepetevu wa matumizi ya umeme  katika mtaa wa kibra mwendo wa saa saba asubuhi ya leo.