.
28th August, 2018
Naibu wa Jaji Mkuu Philomena Mwilu alikamatwa na kufikishwa mahakamani kwa makosa ya ufisadi, matumizi mabaya ya madaraka miongoni mwa makosa mengine. Kiongozi mkuu wa mashtaka ya umma noordin hajji , alisema kwamba afisi yake ina ushahidi wa kutosha kumfungulia mashtaka.