×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wakazi wa Kaunti ya Tana River waliolazimika kuhama kutokana na kufurika kwa Tana River

27th August, 2018

Wakazi wa Kaunti ya Tana river waliolazimika kuhama nyumba zao miezi tano iliopita kutokana na kufurika kwa mto tana msimu wa mvua, wanaitaka serikali kuwajengea nyumba katika sehemu mbadala. Wakaazi hao wamedai kuteseka baada ya kuishi kambini. 

.
RELATED VIDEOS