Wanafunzi Tanzania waunda wavuti inayowasaisia wananchi kupata huduma za afya

KTN News Aug 22,2018


View More on KTN Leo

Wanafunzi wa chuo kikuu cha afya cha muhimbili nchini Tanzania wameunda wavuti inayowasaidia wananchi nchini humo kupata dondoo na  huduma za afya.

Wavuti hiyo imepewa jina 'daktari mkononi' na inatoa huduma kwa lugha ya Kiswahili, mwanahabari wetu Rajabu Hassan amekutana na wanafunzi hao na kuandaa taarifa ifuatayo