.
18th August, 2018
Waziri anayeshughulikia utumishi wa umma nchini Tanzania amekemea tabia ya wakuu wa mikoa kutumia madaraka yao vibaya kwa kuwakamata watu na viongozi wa ngazi za chini bila sababu za msingi, lakini je! Agizo hilo litamaliza ombwe la utovu wa haki na madaraka nchini humo!?