Mirindimo: Sarakasi za Baba Yao

KTN News Aug 17,2018


View More on Dira ya Wiki

Kwenye makala ya Mirindimo tunaangazia vitimbi vya urambaji sukari kwa wabunge, na pia sarakasi za ubomozi huku gavana wa Kiambu akitueleza ni vipi mito yaweza kuhamishwa badala ya kubomoa mijengo