Didmus Barasa anasema hataomba msamaha kwa Fatuma Gedi kwa kumhusisha na utoaji hongo

KTN News Aug 14,2018


View More on KTN Leo

Siku chache baada ya kukataliwa kwa ripoti kuhusu uagizaji wa sukari, wabunge wanaendelea kurushiana lawama. Sasa mbunge wa kimilili Didmus Barasa anasema hataomba msamaha kwa mbunge mwenza Fatuma Gedi kwa kumhusisha na utoaji hongo.