.
14th August, 2018
Siku chache baada ya kukataliwa kwa ripoti kuhusu uagizaji wa sukari, wabunge wanaendelea kurushiana lawama. Sasa mbunge wa kimilili Didmus Barasa anasema hataomba msamaha kwa mbunge mwenza Fatuma Gedi kwa kumhusisha na utoaji hongo.