.
11th August, 2018
Wamiliki wa jumba la oshwal eneo la Parklands Nairobi Jumamosi joini wameamua kulibomoa badala ya kusubiri ubomozi unaoendelea jijini. Jengo hilo lenye hekalu la wahindi pamoja na ukumbi wa tamasha za kitamaduni linakalia eneo la mto Nairobi