Nakumatt Ukay yabomolewa

KTN Mbiu | Friday 10 Aug 2018 5:33 pm

Jumba la Nakumatt Ukay lililopo katika eneo la westlands limebomolewa hivi leo katika mojawapo ya juhudi za serikali kukinga ardhi zilizopo kwenye chemichemi za maji. Shughuli hiyo ambayo ilianza majira ya saa kumi na moja asubuhi iliwezekana baada ya mwenye jumba hilo kushindwa kuzuia ubomoaji wake hakamani.