Mashindano ya kitaifa ya tamasha ya muziki yaliingia siku ya nne katika chuo kikuu cha Dedan Kimathi

KTN News Aug 09,2018


View More on KTN Leo

Mashindano ya kitaifa ya tamasha ya muziki yaliingia siku ya nne hii leo katika chuo kikuu cha teknolojia cha Dedan Kimathi katika kaunti ya Nyeri. Ikiwa ndio siku ya mwisho kwa shule za msingi na vyuo vikuu vya mafunzo ya ualimu kushiriki. Kuna wale ambao tayari waliibuka washindi. raquel muigai anatueleza zaidi.