Zilizopendwa: Tunakumbuka maziwa ya Nyayo

KTN News Aug 09,2018


View More on KTN Leo

Je unakumbuka maziwa wa Nyayo? Ikiwa ulizaliwa katika miaka ya tisini basi wewe ni mgeni katika lugha hii. Yalikuwa maziwa maarufu sana miongoni mwa wanafunzi wa shule. Mimi niliyanywa shuleni. Yalikuwa matamu Kwale.