Utalijua Jiji: tunaangazia mji wa Shimo la Tewa ulioko kaunti ya Mombasa

KTN Leo | Wednesday 8 Aug 2018 8:01 pm

Katika makala ya utalijua jiji leo hii tunaangazia mji wa Shimo la Tewa ulioko kaunti ya Mombasa. Habari kinzani zimetolewa tu kuhusu mji huu wa zamani hata hivyo mwanahabari wetu tobias chanji anaturipotea kutoka mombasa kuhusu nini maana ya Shimo la Tewa.