×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ujenzi wa SGR wasitishwa Ngong na Rongai

6th August, 2018

Ujenzi wa reli ya kisasa katika maeneo ya Ngong na Rongai umesitishwa kwa wiki mbili sasa, baada ya wakazi kuzuia shughuli zozote wakidai fidia. Ingawa ujenzi wa reli unaendelea katika sehemu zingine, badhi ya maeneo kama vile Oloosirkon, empaash na erankau, wakazi wameshikilia kwamba fidia kwanza ujenzi baadaye.

 

 

 

.
RELATED VIDEOS