×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Ujenzi wa bwawa la Koru-Soin yaleta mzozo katika kaunti ya Kisumu

5th August, 2018

Mzozo unatokota baina ya wakaazi wa eneo la koru na serikali ya kaunti  kisumu kuhusiana na mradi wa ujenzi wa buawa la maji la Koru ? Soin katika maeneo ya mpakani kati ya  kaunti za Kisumu na Kericho. Wenyejii  wanadai  kuwa hawakuhusishwa  katika mipango ya awali ya ujenzi wa mradi huo ambao utapelekea takriban familia mia mbili kuhamishwa.

 

.
RELATED VIDEOS