Wafuasi wa Alfred Keter wamtetea Nandi Hills

KTN News Aug 03,2018


View More on Dira ya Wiki

Makundi mawili ya vijana yameandamana mjini Nandi Hills moja likiutaka usimamizi wa chama cha Jubilee umwondoe chamani mbunge wa eneo hilo Alfred Keter na jingine likimuunga mkono