28th July, 2018
Wawakilishi wa wadi kaunti ya Uasin Gishu wamejitokeza na kukosoa vikali matamshi ya mbunge wa Nandi Hills Alfred Keter juma lililopita, kuhusu uongozi wa Jubilee na makabiliano dhidi ya ufisadi na kudai alimkosea heshima Naibu Rais William Ruto