×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Maafisa kadhaa wa serikali wakataa kufika bungeni kujibu maswali kuhusiana na sukari ya magendo

27th July, 2018

Maafisa kutoka mashirika kadhaa ya serikali – yaani multi agency team – yanayochunguza sakata kuhusu kuagizwa kwa sukari inayoshukiwa kuwa na sumu  wamedinda kufika mbele ya kamati ya bunge inayochunguza suala hilo  hii leo kwa madai kuwa muda waliotakiwa kufika mbele ya kamati hiyo ulikuwa mfupi mno

 

.
RELATED VIDEOS