Haki za raia na haki za msitu wakati wa ubomoaji wa nyumba
23, Jul 2018
Wakaazi wa mtaa wa Kibera jijini Nairobi wamepigwa na butwaa baada ya matingatinga kutoka kwa halmashauri ya ujenzi wa barabara mashinani ?kura kuanza ubomoaji wa nyumba zilozojengwa katika eneo lililotengewa ujenzi wa barabara.wenyeji walikuwa wamepewa ilani ya kuondoka lakini baadhi yao wakapuuza.