×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wabunge wataka Rais kuchukua hatua dhidi ya ufisadi

22nd July, 2018

Baadhi ya wabunge wa upinzani sasa wanamtaka rais Uhuru Kenyatta kuzidisha juhudi za vita dhidi ya ufisadi kwa kuhakikisha kwamba kila mtu anayehusishwa na madai ya ulaji rushwa na wizi wa mali ya umma anakabiliwa vilivyo pasi na hofu wala mapendeleo yoyote. Wakizungumza kwenye ibada ya Jumapili katika kanisa moja mtaani Mathare, wabunge hao wakiongozwa na mbunge wa Mathare Anthony Oluoch, walimtaja naibu rais Wiilliam Ruto na washirika wake wa karibu kuwa ni kikwazo kikuu kwenye vita dhidi ya ufisadi

 

.
RELATED VIDEOS