×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mwanamke ngangari: Jane Wanjiru ambaye anawasaidia wajane katika kaunti ya Nyeri

22nd July, 2018

Katika baadhi ya jamii humu nchini, ujane huchukuliwa kuwa mkosi na mjane kulaumiwa kwa kifo cha mumewe. Zaidi ya hiyo, wajane hujipata katikati ya milima miwili wasijue la kufanya ili kuendeleza maisha yao. Katika makala ya Mwanamke Ngangari leo hii  mwanahabari wetu Raquel Muigai anaangazia jinsi jane wanjiku amejitwika jukumu la kuwasaidia wajane kuendelea na maisha baada ya kuwapoteza waume wao.

 

.
RELATED VIDEOS