20th July, 2018
Tume ya ardhi imeitaka shirika la ujenzi wa nyumba nchini kuelekea mahakamani ili kupata idhini ya kuifanyia urekebisho bomba la kupitishia maji taka katika eneo la makande kaunti ya Mombasa. Hii ni kutokana na utata wa ardhi ambao umeonekana kuzua tumbo joto kati ya wapangaji na shirika hilo.