20th July, 2018
Wakazi wa eneo la kabazi kaunti ya Nakuru walilazimika kuandamana hadi kwenye kituo cha polisi cha kabazi wakidai kile walichokitaja haki kwa msichana mmoja aliyebakwa ila mshukiwa akaachiliwa huru na baadhi ya maafisa wa usalama wanaodaiwa kupokea hongo