.
18th July, 2018
Uhamisho wa vifaru hadi mbuga ya wanyama ya Tsavo imesimamshwa kwa muda hadi uchunguzi kamili kubaini chanzo cha vifo tisa ya vifaru utakapokamilika. Hata hivyo ripoti isiyokamilifu inaonyesha kuwa vifaru hao walikunya maji mengi yenya madini ya chumvi.