.
17th July, 2018
Mahakama inatarajiwa kutoa uamuzi wa iwapo washukiwa kumi na wanne na ambao ni viongozi wa shirika la kusambaza umeme KPLC wataachiliwa kwa dhamana. Mahakama ya Milimani imekuwa ikisikiza kesi hiyo na kuchukua mapumziko wakisuburi kutoa uamuzi huo baadaye.