×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Mhubiri afukuzwa baada ya kumnajisi na kumtia mimba msichana wa miaka kumi na mitano

17th July, 2018

Wakazi wa kijiji cha Nzawa Mwingi ya magharibi kaunti ya Kitui hapo jana walimfukuza mhubiri anayedaiwa kumnajisi na kumtia mimba msichana wa miaka kumi na mitano.

Inadaiwa wakazi hao waliojawa na ghadhabu waliamua kuchukua hatua hiyo baada ya mhubiri huyo kutishia kwamba watakufa mmoja baada ya mwengine kwa kumlimbikizia makosa hayo. Aidha inadaiwa kando na msichana huyo, mhubiri huyo amekuwa akiwanajisi watoto wengine katika  eneo hilo.

.
RELATED VIDEOS