Barack Obama awasili nchini huku wakaazi wa Siaya wakimngoja kwa hamu I Siasa za Kanda (Part 2)

KTN News Jul 15,2018


View More on Siasa za Kanda

Aliyekuwa rais wa Marekani, Barack Obama amewasili nchini na anatarajiwa kusafiri kwenda Kogelo siku ya Jumatatu. Siasa za Kanda inaangazia jinsi matayarisho ya kumkaribisha Obama yamefanywa Siaya