.
14th July, 2018
Polisi wanafanya uchunguzi katika kisa ambacho bwana mmoja alimuua mkewe na kisha akamzika ndani ya nyumba yake katika kijiji cha sudi huko bukembe kaunti ya Bungoma. Mshukiwa alitoroka baada ya kisa hicho na mamake ana wasiwasi mkubwa