Matayarisho yafanywa huku Obama akitarajiwa Siaya

KTN News Jul 14,2018


View More on KTN Mbiu

SHULE YA MSINGI NA ILE YA UPILI ZILIZOJULIKANA AWALI KAMA NYANGÓMA KOGELO ZILIBADILISHWA NA KUITWA SENETA OBAMA RASMI MWAKA WA 2015 KWA HESHIMA YA ALIYEKUWA RAIS WA MAREKANI BARACK OBAMA ANAYETARAJIWA NCHINI JUMAPILI