Je nani ataibuka bingwa wa dunia kati ya Ufaransa na Croatia? I Zilizala Viwanjani
13th July, 2018
Ufaransa na Croatia wajiandaa kucheza katika mchuano wa fainalia ya kombe la dunia. Dunia nzima yangoja kuona nani baina ya timu hizi mbili watatokea washindi.