Kaunti za Maeneo Kame yashinikiza serikali kuwapa Kima cha Kshs. 14 Billion

KTN News Jul 12,2018


View More on Leo Mashinani

Kaunti za Maeneo Kame     ya Ukanda wa Kaskazini mwa nchi zimeendelea kuishinikiza serikali kuwapa Kima cha Shilingi bilioni 14 kutoka kwa Hazina ya Usawazishaji inayozuiwa na Wizara ya Fedha. Wakizungumza baada ya kuipokea kaunti ya Pokot Magharibi kwenye mkutano wa baraza la maendeleo ya kaunti hizo mjini naivasha, walitoa wito mpya wa kutolewa mara moja kwa fedha hizo ili kuendeleza maendeleo.