Taifa la Kenya halina ufahamu wa idadi ya mabwawa yote nchini

KTN Leo | Tuesday 10 Jul 2018 7:55 pm

Taifa la Kenya halina ufahamu wa idadi ya mabwawa yote nchini. Haya yameibuka wakati maafisa wa shirika la kushughulikia mazingira NEMA na mamlaka ya raslimali ya maji, wara, walipofika mbele ya kamati ya bunge kuhusu mazingira kwa mahojiano kuhusu mkasa wa bwawa la Solai.