Wanafunzi 10 wa shule ya sekondari katika kaunti ya Kisii wamefikishwa katika mahakama

KTN Leo | Tuesday 10 Jul 2018 7:23 pm

Wanafunzi 10 wa shule ya sekondari katika kaunti ya Kisii wamefikishwa katika mahakama moja huko Kisii na kufunguliwa mashtaka ya kuteketeza mali.