Wanafunzi watatu wa Siakago wafungwa mwaka mmoja gerezani kwa kuchoma shule

KTN News Jul 09,2018


View More on KTN Leo

Wizara ya elimu inaunga  mkono  tangazo la idara ya upelelezi wa jinai DCI kuwa rekodi za wanafunzi wote watakaohusika katika  migomo, zitanakiliwa katika vyeti vyao vya uadilifu. Wanafunzi watatu wameshakamatwa na kuhukumiwa kifungo gerezani anavyoripoti Caroline Bii.