×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Wafisadi pabaya baada ya mkataba wa kurudisha pesa za wizi zilizofichwa Uswizi

9th July, 2018

Mchakato wa kurejesha nchini pesa za wizi zilizohifadhiwa katika nchi za kigeni umeanza huku mataifa ya  kenya na uswizi yakitia saini mkataba kwenye harakati za kukabiliana na ufisadi. Kwenye hotuba ya pamoja hii leo katika ikulu ya Nairobi, Rais Uhuru Kenyatta na Rais wa Uswizi Alain Berset walisema mipangilio ya kurejesha fedha hizo ipo tayari. 

.
RELATED VIDEOS