.
2nd July, 2018
Mzozo unaendelea kutokota kuhusiana na usafirishaji wa mafuta katika kaunti ya Turkana hadi mombasa kwa madai kwamba upo utovu wa usalama baina ya jamii zinazopakana. Gavana wa Pokot Magharibi John Lonyangapuo amesema mzozo huo unachochewa na viongozi wachache.