×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Gor Mahia kukutana na Posta Rangers katika Ngao ya Sportpesa

28th June, 2018

Viongozi wa ligi kuu ya soka nchini Gor Mahia watachuana na Posta Rangers katika raundi ya 16 bora ya michuano ya ngao ya sportpesa. Katika droo ya awamu hiyo ambayo imefanyika hii leo, ulinzi stars watapambana na vihiga united huku mabingwa watetezi AFC Leopards wakipangwa na Mwatate United wanaoshiriki ligi ya daraja la pili nchini. Washindi wa mwaka 2014 Sofapaka watamenyana na Western Stima ugani Kinoru nao Tusker FC wawaalike Bungoma Superstars. Mechi za kwanza zitachezwa tarehe 21 mwezi julai.

 

.
RELATED VIDEOS