×
× KTN KTN News KTN Morning Express KTN Leo Leo Mashinani The Big Story Checkpoint News Center E-Paper Lifestyle & Entertainment Nairobian Entertainment Eve Woman Travelog TV Stations KTN Home KTN News KTN Farmers TV Radio Stations Radio Maisha Spice FM Vybez Radio Enterprise VAS E-Learning Digger Classified Jobs Games Crosswords Sudoku The Standard Group Corporate Contact Us Rate Card Vacancies DCX O.M Portal Corporate Email RMS
Login
×
Show Swahili

Matatu yagongana na trela Mombasa

25th June, 2018

Dereva wa matatu pamoja na kondakta wake wameuawa baada ya gari walimokuwa wakisafiria kugongana na trela katika eneo la kibarani mjini Mombasa. Matatu iliyohusika katika ajali hiyo ilikuwa ikisafiri kutoka magongo kuelekea Mombasa kisiwani

 

.
RELATED VIDEOS