Mudavadi azungumzia sukari bandia

KTN News Jun 24,2018


View More on KTN Leo

Kinara wa ANC Musalia Mudavadi amemtaka rais Uhuru Kenyatta kuunda tume maalum ya kuchunguza sakata ya sukari ya magendo, akitaja ongezeko la hivi maajuzi la kero la bidhaa za magendo  nchini kama suala la usalama wa kitaifa