.
21st June, 2018
Wahudumu wa afya kaunti ya Machakos wameandamana hii leo kulalamikia kucheleweshwa kwa malipo yao. Wakihutubia wanahabari wakiwa nje ya afisi za waziri wa fedha kaunti hiyo, waandamanaji hao wakiongozwa na mwenyekiti wao Morris Mbithi Kisio, walisema wamehadaiwa kwa muda mrefu.