20th June, 2018
Wachezaji chipukizi wa tenisi mjini Kisumu wanategema teknolojia ya kisasa kutoka Marekani kuboresha mchezo wao. Wanasema kwamba japo kenya imeathirika kutoka na ukosefu wa miundo msingi mchezo huo unaweza kukua iwapo wadau wote watautilia maanani.